Image
Image

WHO kufanyia tathmini mlipuko wa ugonjwa wa ebola ili kutoa chanjo, Kongo.

Shirika la afya duniani WHO limesema linafanya uchunguzi na tathmini kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa ebola nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, ili kuamua kama litatumia au la chanjo mpya kudhibiti ugonjwa huo. Hivi sasa watu 19 wameripotiwa kuambukizwa ebola nchini DRC, na wagonjwa watatu kati yao wamefariki.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment