Mpinzani waserikali nchini Urusi Alexei Navalny atangaza Jumapili kuwa ameachwa huru kutoka kifungoni .
Mpinzani huyo alikamatwa na kuwekwa kifungoni kwa muda wa siku 20.
Alexei Navalny alikamatwa akituhumiwa kuandaa maandamano yaliopigwa marufuku na serikali.
Mpinzani huyo katika ukurasa wake katika mtandao wa kijamii aliandika kuwa yupo huru kuhu akipeperusha picha inayoashiria kuwa yupo huro katika mitaa mjini Moscow.
Navalny alitangaza kuwa atashiriki katika uchagzui mkuu unaotarajiwa kufanyika ifikapo Machi mwaka 2018.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment