Idadi ya watalii kutoka Urusi nchini Uturuki imeongezeka mara kumi ukilinganisha na mwaka jana.
Idadi hiyo imetolewa na waziri wa nishati wa Urusi Alexander Novak.
Kwa mujibu wa habari,takriban watalii milioni 1 na laki 6 kutoka Urusi wametembelea Uturuki nnadi ya nusu mwaka wa 2017 huku mwaka jana ilikuwa ni watalii laki moja na elfu sitini na nane.
Hii idadi ni mara kumi ya ilivyokuwa mwaka jana.
Ripoti zinaonyesha kuwa mahusiano kati ya Uturuki na Urusi yanazidi kuwa imara jinsi siku zinavyokwenda.
Hali hiyo imepelekea watalii wengi kutoka Urusi kuitembelea Uturuki.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment