Image
Image

Mbowe aendelea kusisitiza uchunguzi kutoka nje juu ya shambulio la Lissu, Waziri Mkuu amjibu.

Kufuatia tukio la kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mh.Tundu Lissu ambaye anaendelea kupatiwa matibabu nchini Kenya, Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametaka kufahamu kwamba serikali inaona shida gani kuomba vyombo vya nje kufanya uchunguzi wa tukuio la kushambuliwa kwa Mh.Tundu Lissu.
Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni ambapo amesema kuwa hvibezi vyombo vya ndani kwamba havina uwezo wa kufanya uchunguzi la hasha uwezo vinavyo, lakini hajui ni kwanini vinasuasua, ameomba majibu ya kina kwa waziri Mkuu Kassim Majaliwa na amejibiwa kama ifuatavyo.“Mheshimiwa Mbowe bado tuna imani na vyombo vya dola nchini, hivyo basi tuvipe muda ili wakamilishe upepelezi wa matukio hayo na mengine mengi nchini ili wakamilishe kazi yao kwa ufanisi”. Alisema Waziri Mkuu
Tizama video hapo
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment