SALUM NJWETE amepatikana na hatia kwa kumje ruhi SAIDI MRISHO mkazi wa bugurudi ilala jijinii Dar es salam kwa kumtoboa macha .
Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya ilala FLORA HAULE amesema ametoa hukumu hiyo ili iwe fundisho kwa wengine na kuagiza fedha hizo zilipwe haraka iwezekanavyo.
Akizungumza mahakamani hapo SAIDI MRISHO aliyefanyiwa tukio hilo amesema hajaridhika na hukumu hiyo huku akitaka afungwe maisha au atobolewe macho kwa asababu anaishi maisha magumu kutokana na kutobolewa macho.
Source:RadioOne
0 comments:
Post a Comment