NEMC pamoja na washiriki wengine kutoka Taasisi mbalimbali walioshiriki maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Mazingira nchini Qatar.
Diana Fatukubonye ni Export Manager kutoka Bodi ya Kahawa (TCB).Bodi ya kahawa ni Shirika la umma lenye mamlaka ya kusimamia tansia ya kahawa nchini Tanzania.Uzalishaji wa kahawa kwa sasahivi ni tani 75,000 ya kahawa safi na tuko kwenye mkakati wa kuongeza uzalishaji kufika tani 300,000 mwaka 2025 .Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko ( CPB) wameshiriki maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Mazingira nchini Qatar kwa ajili ya kutimiza majukumu yao ya GAPEX ( General Agricultural Produce Export) ambalo ndo jukumu kuu la Bodi katika kutangaza nafaka na mazao mchanganyiko kwenye masoko ya nje.
0 comments:
Post a Comment