Ktibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk.Wilbroad Slaa amewaagiza wabunge wa chama hicho kuanza utaratibu wa kukusanya hotuba zote zitakazo kuwa zikijadiliwa bungeni na kuzigawa kwa wananchi ili kuongeza uelewa miongoni mwa jamii juu ya mambo ambayo chama hicho inayasimamia.
Dk. Willbroad Slaa Katibu Mkuu Chadema. |
Naye mbunge wa Jimbo la Nyamagana Bw. Ezekiah Wenje amesema wakati umefika kwa wanasiasa kuona umuhimu wa kuwaunganisha watu ili kupata suluhu ya kudumu ya matatizo yaliyopo ikiwa ni pamoja na matumizi bora ya rasilimali za Taifa.
0 comments:
Post a Comment