Kocha wa zamani wa Liverpool kwa sasa akiwa kocha wa mda wa Chelsea Rafa Benitez anatarajia kurudi kwa mara ya kwanza leo.
|
Benitez |
Kocha huyo aliyeipatia Liverpool ubingwa wa ulaya mwaka 2005 atakua katika benchi la ufundi kuiongoza timu yake ya Chelsea katika mchezo huo wa ligi kuu ya Uingereza unaotegemewa kua mkali sana na wakuvutia.
Benitez ambaye katika historia yake ya ukocha hajawahi kukutana na timu ambayo ashaifundisha kabla na Hii ndo itakua mara yake ya kwanza kukutana na Liverpool leo.
Liverpool kwa sasa inanolewa na Brendan Rogders na ikumbukwe toka Benitez alipoiacha 2010 walipita makocha wawili tofauti mpaka kufika kwa Rodgers. Watu wengi wanahamu kuona jinsi mapokezi yake yatakavyokua pale Anfield baadae leo hii.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment