Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Arusha na kusomewa shitaka la uchochezi na kusababisha vurugu katika chuo cha Uhasibu Njiro mkoani Arusha ,April 24 mwaka huu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment