Mke wa Rais Salma Kikwete amewataka wazazi nchini kushirikiana kikamilifu katika kuwahudumia watoto wao, ikiwa ni pamoja na kuwapeleka kwenye vituo vya afya ili kupata chanjo ya magonjwa mbalimbali.
Salima Kikwete Mke wa Rais |
Naye Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani Dk.Rufaro Chatora amesema imebainika kua chanjo huzuia takriban vifo vya takriban watoto milioni mbili hadi tatu kila mwaka.
0 comments:
Post a Comment