Jeneza likiwa limebebwa na Mashehe kwenda kumuhifadhi Marehemu bi Kidude kwenye makazi ya milele |
Mungu Ailaze Roho yake Mahala Pema |
Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude, Zanzibar |
Msanii Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na Hassan Bond Mussa (FID Q ndo alikuwa msanii wa kwanza mkubwa kufika msibani kwa bibi) |
Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. …….msibani kwa Bi Kidude |
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude |
Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani |
0 comments:
Post a Comment