Mbwana Samatta pamoja na timu yake ya TP Mazembe ipo Afrika Kusini
tayari kwaajili ya Mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Orlando
Pirates ya huko.
|
Mbwana Samatta |
Akihojiwa na mtandao wao wa TP Mazembe huku akijibu maswali tofauti,
Mbwana ameelezea jinsi TP Mazembe ilivyo tofauti na timu yake ya Zamani
ya Simba, na timu nyingine za Tanzania.
Alipoulizwa anaona tofauti gani kati ya timu yake ya sasa na ya
zamani, Simba alielezea jinsi malengo ya viongozi wa vilabu (Simba)
kutokuwa na malengo ya juu zaidi ya mipango ya kuchukua Ubingwa wa ligi
tuu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment