Image
Image

EXCLUSIVE: WATANZANIA WAKUMBUSHWA KUENDELEZA UBUNIFU


Watanzania wametakiwa kuendeleza ari na tabia ya ubunifu pamoja na ushindani kwani ni muhimu si tu kwa wafanyabiashara bali kwa maendeleo na mafanikio ya wananchi wote na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Godfrey Simbeye - Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Sekta Binafsi
Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi tanzania Bwana Godfrey Simbeyr alipokuwa akizungumza katika semina ya mafunzo ya masuala ya ubunifu na ushindani wa biashara yanayoendeshea na programu ya fanikiwa Kibiashara chini ya TPSF mjini  Morogoro.

Amesema kama taifa linataka kupata maendeleo endelevu, mambo mawili yanatakiwa kuzingatiwa na kila mtu ambayo ni kuwa kuwa mbunifu na mshindani bila kuangalia anafanya kazi gani
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment