Serikali imetakiwa kutoa ushirikiano kwa asasi na taasisi zinazoanzishwa nchini kwa lengo la kuchochea maendeleo na kuhamasisha jamii kuwa na mwamko wa kushiriki katika shughuli za ujasiriamali kwa lengo la kujiingizia kipato na kujikwamua kiuchumi.
|
Abdalah Chaurembo - Naibu meya jijini Dar es Salaam
Rai hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na Naibu Meya wa jiji la Dar es salaam Bw, Abdalah Chaurembo kwenye uzinduzi wa Asasi isiyo ya Kiserikali yaSUDELI inajojihusisha katika kuchochea jitihada za maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
|
|
Washiriki |
|
Washiriki |
Bwana Chaurembo amesema asasi nyingi nchini zimekuwa zikisaidia wananchi kujitambua, kupata nyenzo pamoja na mafunzo ya ujasiriamali na hivyo kuweza kuanzisha, na kuendesha miradi mbalimbali na kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hususani kwa vijana.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment