Barcelona
wameruhusu wavu wao kuguswa mara nne katika mechi ya Champions League kwa mara
ya kwanza tangu walipofungwa 4-2 na Chelsea katika hatua ya 16 bora March 2005.
Timu ya kwanza kuifunga Barcelona 4-0 katika michuano ya ulaya ilikuwa ni
Dynamo Kiev katika hatua ya makundi mnamo November 1997.
Hakuna timu iliyofungwa kwenye raundi ya kwanza ya hatua ya mtoano ya Champions League/European Cup kwa mabao manne kwa bila au zaidi iliyoweza kufuzu kuendelea raundi ya pili.
Hakuna timu iliyofungwa kwenye raundi ya kwanza ya hatua ya mtoano ya Champions League/European Cup kwa mabao manne kwa bila au zaidi iliyoweza kufuzu kuendelea raundi ya pili.
Katika mashindano yote - Barcelona hawajafungwa 4-0 tangu walipoonyoshwa na
Getafe katika kombe la mfalme May 2007. Miaka sita iliyopita.
0 comments:
Post a Comment