SEXCLUSIVE: HEREHE ZA MUUNGANO TANZANIA ZAFANYA MECHI YA SIMBA NA RUVU SHOOTING KUKIPIGA MEI 5 2013.
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Ruvu Shooting na Simba iliyokuwa ichezwe leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam sasa itafanyika Mei 5 mwaka huu kwenye uwanja huo huo.
Mabadiliko hayo yametokana na Serikali kuutumia uwanja kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano ambazo kitaifa zitafanyika kesho (Aprili 26 mwaka huu) Katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment