Image
Image

EXCLUSIVE: ASKARI MIATANO KUTOKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI KUPELEKWA KULINDA AMANI SEHEMU ZENYE MIGOGORO.

Zaidi ya askari wa kijeshi mia tano kutoka nchi kumi za ukanda wa afrika mashariki na kati watapelekwa  kulinda aman kwenye maeneo yenye migogoro na vita kwa ajili ya kulinda amani.
Askari hao wakiwemo mgambo, wanajeshi na raia wamemaliza mafunzo yao ya kijeshi kwenye mji wa jinja nchini uganda wakisubiri kupelekwa katika maeneo hayo .
Askai hao wanatoka katika nchi kumi za afrika  ni pamoja na Comoro, Djibuti, Ethiopia, Rwanda, Burundi, Kenya, Visiwa vya sheli sheli, Somalia, Sudani na Uganda yenyewe.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment