![]() |
| Wafanyakazi wa TALGWU, wakipita mbele ya jukwaa kuu na Bango lenye ujumbe. |
![]() |
| Twiga Cement wao walikuwa wakipromoti bidhaa yao tu bila hata bango lenye ujumbe kuhusiana na sherehe hizo. |
![]() |
| Maandamano yakiendelea kupita mbele ya jukwaa kuu. |
![]() |
| Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF, wakipita mbele ya jukwaa kuu na maandamano na mbwembwe za kucheza Kiduku, wakati wa sherehe hizo. |
![]() |
| Maandamano yakipita mbele ya jukwaa kuu |
![]() |
Watenda Haki' wakipita na bango lao mbele ya jukwaa kuu
|
![]() |
| Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi wengine wakati wakisimama kupokea maandamano hayo. |










0 comments:
Post a Comment