EXCLUSIVE: KIKWETE AWATAKA WADAU WA MAKAMPUNI BINAFSI KUCHANGIA ELIMU.
Rais Jakaya Kikwete amewataka wadau mbalimbali wakiwemo wa makampuni binafsi kuchangia Sekta ya Elimu hapa nchini, ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali kuimarisha elimu.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza kwenye Mkutano Maalum kati yake na wadau wa Elimu, ambapo masuala mbalimbali ya kuboresha elimu yamejadiliwa na kuwekewa mikakati.
Sekta binafsi hapa nchini, yakiwemo mabenki, imekuwa ikitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta ya Elimu
0 comments:
Post a Comment