Image
Image

EXCLUSIVE: MWANAUME ALIYEKUWA AKIJARIBU KUDANDIA DCM AFARIKI DUNIA, BOMA JIJINI DSM.


Hii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbaya

Asubuhi hii ajali mbaya imetokea maeneo ya Ilala Boma na  kusababisha kifo cha abiria huyu ambaye hajatambulika kwa jina mpaka sasa baada ya abiria kutaka kudandia bahati mbaya akadondoka na kupasuka kichwa na kusababisha umauti wake


Wasamaria wema wakisaidia kumpakia kwenye gari kwa kumpeleka hospitalini

Umati wa watu ukishuhudia ajali maeneo ya Ilala Boma asubuhi hii


Askari wa usalama barabarani akichukua maelezo kwa dereva aliyesababisha ajali.


Mwili wa marehemu ukiwa tayari kuondolewa kupelekwa  hospitali




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment