Mapema leo kutoka Bungeni mjini dodoma kupitia taarifa iliyotolewa na Mh. LUKUVI, imesema kuwa Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012 yatarudiwa kusahihishwa upya.
Amesema uamuzi huo umetokana na Mapendekezo yaliyotolewa na Tume iliyokuwa imeundwa kwaajili ya uchunguzi wa Nini haswa chanzo cha wanafunzi wa kidato cha nne kufeli kwa asilimia 60.
Aidha amesitisha Kuanza kutumika kwa vipya vya ufaulu.
0 comments:
Post a Comment