Image
Image

EXCLUSIVE: SERIKALI YAAHIDI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI KWA WAWEKEZAJI NCHINI.

Serikali imesema itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji  nchini ili kupanua wigo wa maendeleo ya ukuaji wa uchumi pamoja na kuongeza ajira kwa vijana.

Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya bidhaa za ndani zikiwemo samani za kiasili na za kisasa kutokana na  miti, mbao na udongo zenye asili ya Misri, Makamu wa Rais Dr Mohamed Gharib Bilal amesema ipo haja ya kupanua wigo wa kibiashara miongoni mwa nchi za kiafrika ili kuongeza ajira na ukuaji wa uchumi.

Dr Mohamed Gharib Bilal- Makamu wa rais Tanzania 
Amesema serikali imechukua hatua mbalimbali zikiwemo za kuweka mazingira mazuri ya uwekezeaji pamoja na kuondoa kero zilizokuwapo dhidi ya wawekezaji kutoka nje.



Hafla hiyo ilihudhuriwa na mabalozi kutoka nchi mbali mbali hapa nchini.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment