Image
Image

EXCLUSIVE: WAJASIRIAMALI KATIKA MWAMBAO WA ZIWA VICTORIA NCHINI KENYA WAPATIWA SEMINA.


Wajasiriamali wanaojihusisha na uvuvi wa  dagaa katika mwambao wa ziwa victoria nchini kenya wamepatiwa semina ya jinsi ya kutumia njia bora ya  kutayarisha samaki ili  kuwaongezea thamani katika soko la biashara ndani na nje ya nchi.

Wakielezea baada yakunufaika na semina hiyo iliyofadhiliwa na taasisi isiyo ya kiserikali wamesema wameshukuru kupata elimu hiyo ambayo wamedai itawasaidia katika kukuza biashara yao hususani baara ya kupata mkataba wa kusafirisha dagaa hao nje ya nchi.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment