Viongozi wanchi mbalimbali za Afrika wametoa
wito kwa washirika wao kote ulimwenguni kuunga mkono juhudi za kuchangisha
fedha za fuko la kimtaifa la kupambana na ukimwi, kifua kikuu na malaria yaani
Global Fund.
Ombi hilolimetolewa kwenye mkutano wa
muungano wa Afrika (AU) mjiniAddis AbabaEthiopiawakati wa maadhimisho ya miaka
50 ya muungano huo.
![]() |
| ADDIS ABABA |
Katika azimio lililopitishwa Jumatatu wakuu
wa nchi wa Afrika wamesema wanaungana pamoja katika juhudi zao za kupambana na
ukimwi, kifua kikuu na malaria.


0 comments:
Post a Comment