Image
Image

WATU WATANO KENYA WAJERUHIWA NA WATU WALIOKUWA NA SILAHA.



watu watano miongoni mwao maafisa wawili wa polisi wamejeruhiwa baada ya watu waliokuwa na silaha kushambulia vituo vya polisi karibu na mpaka wa Kenya na somalia

Mashambulio hayo yametokea katika miji ya Dadaab na Liboi. Tayari ulinzi umeimarishwa kwenye maeneo hayo sambamba na msako mkali juu ya washambuliaji hao ambao inashukiwa wamekimbilia kwenye mpaka wa Somalia.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment