Serikali nchini Kenya imetakiwa kusimamia kikamilifu sheria ya kudhibiti matumizi ya pombe haramu kutokana na ongezeko la athari zitokanazo na matumizi ya pombe hizo.
Katika eneo la Nyandarua, viongozi wametaka ushirikiano baina ya
wananchi na serikali katika kudhibiti utengenezaji
na hatimaye matumizi ya
pombe haramu ambazo zimekuwa zikisababisha athari nyingi ikiwemo vifo hususan
kwa vijana
0 comments:
Post a Comment