Image
Image

WAPINZANI WA RAIS MURSI WAVAMIA OFISI ZA CHAMA HICHO.


Nchini Misri  wapinzani wa rais Mohamed Mursi wa nchi hiyo, wamevamia ofisi za chama chake cha udugu wa kiislamu na kufanya uharibifu mkubwa wa mali.
Mohamed Mursi - Rais wa Misri
Imearifiwa  kuwa tukio hilo limetokea wakati bwana Mursi alipokuwa akilihutubia taifa hilo kuadhimisha mwaka mmoja tangu achaguliwe kuwa rais wa nchi hiyo, ikiwa pia ni siku chache kabla ya maandamano ya wapinzani wake yaliyopangwa kufanyika Juni 30 mwaka huu kupinga utawala wake. 
Katika hotuba yake hiyo, rais Mursi ameonya upinzani unaoendelea nchini humo kwamba utaidhoofisha nchi, na habari ambazo zinadaiwa kuwa zimekanushwa na ofisi yake zinasema rais huyo amekiri kufanya makosa kadhaa ikiwemo suala la katiba ya nchi hiyo na kuahidi kufanya mageuzi.

Katika hatua nyingine watu 170 wameripotiwa kuuawa
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment