Kiungo wa
Brazil Paulinho amejiunga na Tottenham akitokea Corinthians kwa ada ya pauni
milioni £17.
Paulinho, ambaye
alichagiza ushindi wa taji la Confederations kwa Brazil amefanikiwa kupita
mtihani wa kipimo cha afya kabla ya kuanguka saini ya kuichezea klabu hiyo.
Paulinho
factfile
Full
name: Jose Paulo Bezerra Maciel Junior
Born: 25
July 1988
Brazil
caps: 17
Brazil
goals: 5
Kiungo huyo mwenye
umri wa miaka 24 aliwasili London alhamisi na kukutana na meneja wa wake mpya
Andre Villas-Boas na baadaye mwenyekiti Daniel Levy.
Amenukuliwa akisema
"ninafuraha
kujunga na Spurs. Ni furaha sana katika kazi hii kuwepo katika klabu kubwa kama
Tottenham,".
Real Madrid pia
ilionyesha nia kwa Paulinho, ambaye aliicheze klabu ya FC Vilnius ya Lithuania
na LKS Lodz ya Poland.
Mzaliwa huyo wa Sao
Paulo amefunga jumla ya mabao 34 goals katika jumla ya michezo 167 aliyoichezea
Corinthians na alichagiza ushindi wa Brazil wa mabao 3-0 wa mchezo wa fainali
ya michuano ya Confederations Cup dhidi ya Hispania.


0 comments:
Post a Comment