Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionekana akiingia katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha,wakati wa kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ Pamoja
naye ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali V.K. Mritaba. Jumla ya wahitimu 205,
wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo
wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwaakikagua gwaride katika Chuo Cha Mafunzo ya
Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ .
Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Ofisa
Kadet Ngodoke kwa kuibuka mwanafunzi bora wa jumla mwaka huu katika Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa
Maafisa wa JWTZ, ambapo Jumla ya
wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu,
ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku
kamisheni kwa maafisa katika Chuo cha Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli,
Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ , Kwani Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25,
wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka
Uganda na
Visiwa vya Shelisheli.
Meza
kuu wakati wa sherehe hizo za kutunuku
kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ , ambapo Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25,
wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka
Uganda na
Visiwa vya Shelisheli.
Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu
Mizengo Pinda, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange baada ya sherehe za
kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ , Wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25,
wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka
Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment