Breaking news.
Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni
Majambazi miongoni mwao akiwa askari wa jeshi la polisi aleyefahamika kwa jina
la Mohamed Muhina wanashikiliwa na jeshi la Polisi msimbazi baada ya kufanya
uhalifu katika eneo la ilala karibu na clab ya wazee jijini dar es Salaam
na kufanikiwa kuiba dola za kimarekani elifu 20 ambazo ni zaidi ya milioni 20 za kitanzania.
Tutaendelea kuwafahamisha kadri taarifa tutakavyo zikusanya.
0 comments:
Post a Comment