Kamanda wa Polisi wa Mkoa
wa Morogoro Faustini Shilogile akitoa taarifa kuhusu maadhimisho ya miaka 94 ya
Jeshi la Polisi Nchini iliyoadhimishwa jana, Ambapo Askari wa Jeshi la Polisi
Mkoani Morogoro walifanya usafi kwenye Kambi ya kulea wazee na wasiojiweza
ya Funga funga na Kutoa msaada kwa wazee hao pamoja na watoto yatima wa kituo
cha Mgolole.
Mwenyeki wa wazee
akitoa Neno la shukrani wakati wa ugeni huo wa polisi walivyotembelea
kambi yao ya wazee na wasiojiweza wa funga funga Mkoa Morogoro.
Bibi aliyekuwa kwenye kambi
ya wazee wa Funga funga anakadiriwa kuwa na miaka 105.
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro Faustini Shilogile akiwa Na Mkuu wa Upelelezi
Mkoa wa Morogoro Japhet Kibona wakifanya usafi katika kambi ya kulea
wazee na wasiojiweza ya Funga funga
Askari wa Jeshi la
Polisi Mkoani Morogoro wakishirikian kufanya Usafi katika kambi ya wazee hao.
0 comments:
Post a Comment