KIOTA maarufu cha starehe jijini Dar es Salaam cha Samaki Samaki tawi la Mbezi–Makonde jijini Dar es Salaam leo kimeteketea kwa moto. Moto huo ambao bado haijafahamika umetokana na nini umeteketekeza kila kitu kwenye Mgahawa huo.
Samaki Samaki ikiteketekea kwa moto Bar ya
Samaki samaki iliyopo maeneo ya Mbezi beach.
0 comments:
Post a Comment