Amiri washura ya maimamu nchiniSheikh Mussa Kudecha( katikati) akiwa sambamba na viongozi wengine alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya kupigwa Risasi begani Sheikh Ponda.
Shura ya maimamu nchini Imeitaka serikali kuundatume huru yakuchunguza
tukio la kujeruhiwa kwa katibu wajumuiya na taasisi za kiislamu nchini Sheikh
Ponda issa Ponda baada ya kumalizika kwa mhadhara wa uliohutubiwa na kiongozi
huyo jana mjini Morogoro.
Amiri washura ya maimamu nchini Sheikh Mussa Kudecha wakati akizunmza
nawaandishi wa habari katika msikiti wa Mtambani jijini Dar es Salaam amesema
kwamba kitendo kilichompata Sheikh Ponda na kulihusisha jeshi la polisi
hakikubaliki na kwamba sio utawala bora na kina kiuka haki za msingi za
binadamu.
Amiri washura ya maimamu nchiniSheikh
Mussa Kudecha( katikati) akiwa sambamba na viongozi wengine alipokuwa
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya kupigwa
Risasi begani Sheikh Ponda.
AkiwasambambanawakiliwaskeikhPonda, JumaNasoro Sheikh kudecha alisema kwamba iwaposerikali itapuuza madai
yao shura ya maimamu itaaminifika kwamba tukiohilo lilikuwalimepangwa na serikalI
hivyo hawatakuwa na imani navyombo vya dola.
Wakati mkutano huo ukiendelea, nje ya msikiti huo jeshi La polisi
lilikuwa likifanya doria kwa kutumia magari ya FFU kuzunguka maeneo ya msikitihuo
,ambako pia kulikuwa na waumini wengi wakifuatilia tukiohilo.
WakatihuohuoJeshi la polisinchinilimetoa taarifaya kuunda timu inayoshirikisha wajumbe kutoka jukwaa la haki
jinai ikiongozwa na Kamishna wa Jesh la polisi Issaya Mngulu kwaajili ya
uchunguzi wa tukio hilo, na hatimaye kuchukua fursa hiyo kuwatakawananchi kuwa
watulivu wakati suala hilo likishughuli kiwakisheria.
0 comments:
Post a Comment