Fikiri Hausi mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya
majengo manispaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya mkoa baada ya kuunguzwa
na mama yake. Jeshi la polisi lina endelea kumtafuta mama wa mtoto huyo.
huu ni mkono wa Fikiri
akiwa hospitali kwa matibabu.
(Picha: Songea habari).
0 comments:
Post a Comment