Taarifa za shirika la Msalaba Mwekundu zimeeleza kuwa idadi
ya watu waliouawa katika mkasa huo imefika 69.
Mapema leo imeripotiwa kuwa milio ya risasi na miripuko
katika jengo hilo. Je, kutokana na tukio hili Kenya ijiondoe Somalia.
Milio ya risasi na
mabomu imesikika hii leo kutoka kwenye kituo cha Biashara cha Westgate katika
eneo la Westlands,mjini Nairobi nchini Kenya,ambako wanamgambo wa kundi la
kigaidi la Al-Shabaab wanawashikilia mateka watu kadhaa kwa siku ya tatu,huku
wakitishia kuwaua.
jengo la duka kubwa, huku vikosi vya usalama vikilizingira
jengo hilo.
Taarifa za shirika la Msalaba Mwekundu zimeeleza kuwa idadi
ya watu waliouawa katika mkasa huo imefika 69.
Mapema leo imeripotiwa milio ya risasi na miripuko katika
jengo hilo. Je, kutokana na tukio hili Kenya ijiondoe Somalia?
0 comments:
Post a Comment