Watu walioshuhudia wameeleza kuwa sauti ya milipuko
mitatu mikubwa imesikika mapema leo katika jengo hilo la maduka la Westgate
jijini Nairobi.
Vikosi vya Kenya vinajaribu kupambana na wanamgambo wa
as Shabab waliovamia jengo hilo la biashara juzi Jumamosi ambalo sehemu
yake moja imetajwa kumilikiwa na Israel.
Katika mashambulizi hayo ya as Shabab, karibu watu 70
wameuawa na wengine wanaokaribia 200 kujeruhiwa sambamba na kushikwa mateka
wengine wengi.
0 comments:
Post a Comment