Mkuu wa Mkoa wa
Morogoro Mh Joel Bendera Akimpokea Bondia Francis Cheka wakati akiwasili
uwanjani katika halfa ya kumpongeza Bondia huyo aliyenyakua Ubingwa wa
Dunia Kwa Kumchapa bondia kutoka Marekani.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akikabidhiwa Mkanda wa
Ubingwa wa Dunia kutoka kwa Bondia Francis Cheka jana Mjini Morogoro.
Bondia Francis Cheka akitoa neno la Shukrani na Pembeni yake Ni
Mke wa Bondia Huyo
Kocha wa Bondia Huyo Aliyefahamika kwa jina la Komando Akisema
Machache wakati wa Halfa hiyo jana.
Mkuu wa wilaya ya Mvomero na rais wa Riadha Tanzania Mh Antony
Mtaka Akisema machache.
Mkuu wa
Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akiwasili Kwenye Uwanja wa Shujaa Mkoani
morogoro Akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi Wakati
wa hafla fupi ya kumpongeza Bondia Francis Cheka aliyeiletea sifa
nchi kwa kushinda ubingwa wa dunia kwa Kwa kumchapa bingwa wa dunia
Mmarekani Bondia Williams.
0 comments:
Post a Comment