Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya
Tabora waliofika kumlaki alipokuwa akiwasili Mkoani Tabora mchana wa jana
Septemba 13,2013.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya wanachama wa Chama cha
Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoani Tabora wakati alipokitembelea Chama hicho
jioni ya jana Septemba 13,2013.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama hicho,Waziri
Kipusi.
Msafara wa Pikipiki (maarufu kama Boda Boda)
Mkoani Tabora ukiwa barabarani wakati wa kumpokea Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge
wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa alipokuwa akiwasili Mkoani Tabora
jana,ambapo alitembelea Ofisi za Chama cha Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoani
Tabora.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza machache kwenye mkutano wake ya
Waendesha Boda Boda wa Mkoa wa Tabora.
Mwenyekiti wa Chama Waendesha Pikipiki
(Bodaboda) Mkoani Tabora,Waziri Kipusi (kushoto) akisoma taarifa fupi mbele ya
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa juu ya
mwenyendo wa Chama hicho pamoja na malengo yake.ambapo Mh. Lowassa ameahidi
kuwapatia pikipiki tatu,ikiwa ni sehemu ya mchango wake kwenye Chama hicho.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza jambo na Watoto waliojitokeza kumsalimia
wakati alipokuwa akiwasili Mkoani Tabora jana,Septemba 13,2013.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa akifurahia jambo na Watoto Chipukizi waliokuwepo nje ya Ofisi za
CCM Wilaya ya Tabora Mjini.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (mwenye kipaza sauti) akisisitiza
jambo wakati akizungumza na Wanafunzi wa Vyo mbali mbali Mkoani
Tabora,waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Ukumbi wa Chuo cha Utumishi,Mkoani
Tabora jana Septemba 13,2013.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya
ya Tabora Mjini,Seif Gulamali akizungumza machache mbele ya Wanafunzi wa Vyuo
mbali mbali Mkoani Tabora.
Mbunge wa Jimbo la Urambo,Mh. Athuman Kapuya
akijibu moja ya Maswali yaliyokuwa yakiulizwa na Wanafunzi hao wa Vyuo mbali
mbali Mkoani Tabora waliokuwa wamefurika kwa wingi ndani ya Ukumbi wa Chuo cha
Utumishi Mkoani humo,kumsikiliza Mh. Lowassa.
Mmoja wa wanafunzi kutoka Vyuo mbali mbali Mkoani Tabora,
akiuliza swali.
0 comments:
Post a Comment