Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifafanua jambo wakati alipokuwaakiwafariji jamaa na wafuasi wa
Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya
Machui,waliofika kumuangalia Padri huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Mnazi
Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasijulikanwa jana jioni katika Mtaa
wa Mlandege Mjini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment