Huduma ya afya ni miongoni mwa changamoto katika nchi
zinazoendelea mathalani barani Afrika nchiniUganda.
Lakini sasa mambo ni tofauti vijijini ambapo serikali
na wadau wa sekta hiyo wakiwamo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia
watoto, UNICEF wameleta mabadiliko.
0 comments:
Post a Comment