Tukio la Kenya limezua hofu katika nchi za Afrika
Mashariki ikiwemo Uganda.
Hofu imetanda kuwa huenda walioshanbulia jengo la
Westgate mjini Niarobi wakageukiaUganda.
Vicent Senyunja raia wa kawaida ameeleza hofu yake
baada ya machafuko nchini Kenya yanayo endelea.
Kwa upande wake mkaguzi Mku wa Polisi Gen. Kale
Kayihura amesema Uganda ina kila sababu ya kuwa chonjo bada ya jirani zetu Kenya Kushambuliwa vibaya.
Polisi na
wanajeshi wamaonekana kwenye sehemu mbali mbali za mijumuiko na ofisi
muhimukamaile ya Waziri mku.
Uganda ni nchi yenye idadi kubwa zaidi ya walinda
amaani chini ya mungano wa Afrika – AMISON wanaoisaidia Serikali
yaSomaliakupambana na Wanamgambo wa Alshabab.
Watu 74 waliuwauwa na washambuliaji wa kujitolea mwezi
July 2010 na wanmgambo wa Al-shabab walidai kuhusika.
0 comments:
Post a Comment