Ommy Dimmpoz akifanyiwa Mahojiano na Mtangazaji Sunday Shomari kwenye studio
za Studio za Idhaa ya Kingereza VOA,
Msanii huyo yupo Ziara Woshngton DC kwa wiki tatu ambapo kesho ana
tarajia kufanya shoo yake huko washngton.
Ommy Dimmpoz akionekana kwenye Nembo ya VOA kwa kumbukumbu Baada ya Kufika katika studio hizo.
Ommy Dimmpoz akiwa katika pozi huku akifurahi, wakati akifanyiwa Mahojiano na Studio za Idhaa ya Kingereza VOA.
Mbali na mahojiano
msanii huyo aliweza kuwa mmoja wa wasanii wa Tanzania ambao wameweza kutembelea
studio hizo na kujionea namna zinavyofanya kazi za urushaji wa matangazo na
hata watangazaji ambao wanafanya kazi humo, sambamba na kubadilishana mawazo
mawili matatu na watangazaji watanzania ambao wanafanya kazi VOA, ambapo VOA ina idhaa 42.
Ommy amefunguka juu
ya mapokezi na hata mahojiano aliyofanyiwa VOA, ambapo yalilenga zaidi kazi
zake anazo zifanya na alipotoka hadi sasa, lakini yakajikita zaidi kwenye
upande ya madawa ya kulevya na nanamna wasanii wavyokuwa wakiyatumia na hata
kushindwa kuendelea katika sanaa na mwisho wa siku kubakia majina huku wakiwa wamesha
tafunwa na mdudu MADAWA.
Kuhusu kupaform huko
katika shoo Ommy awewaondoa watanzania wasiwasi na kuahidi kuwa atafanya poa
kwani anamorali wa kutosha, haswa kwa mapokezi aliyoyapata huko Washngton DC.
Picha na VOA.
0 comments:
Post a Comment