China imelaani vikali
shambulizi la kigaidi lililotokea kwenye jengo la maduka mjini Nairobi, Kenya,
na kusababisha idadi kubwa ya vifo.
Msemaji wa wizara ya
mambo ya nje ya China Hong Lei amesema, China inapinga ugaidi wa aina yoyote,
na inatoa salamu za rambirambi kwa waathirika wa tukio hilo, na kuwapa pole
wale wote waliojeruhiwa na familia za watu waliouawa katika shambulizi hilo.
0 comments:
Post a Comment