Mama mjamzito akipatiwa huduma katika
moja ya kliniki nchini Tanzania.
Katika kutimiza malengo ya maendeleo ya milenia
hususani lengo la tano la kupunguza vifo vya wajawazito, serikali yaTanzania
kupitia wizara ya afya imesema imepunguza vifo hivyo.
Takwimu za wizara ya afya zinaonyesha kuwa vifo vya wajawazito
vimepungua kwa asilimia 21 kutoka vifo 578 kwa kila uzazi hai Laki Moja
kati ya mwaka 2004-2005 hadi vifo 454 kwa kiwango hicho kati ya mwaka 2009 hadi
2010.
0 comments:
Post a Comment