Hii ndio nyumba aliyoiacha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko
kwenye kijiji cha Kimanzichana.
Hawa ni Baadhi ya wananchi waliofika msibani haopo.
Wazee wakihesabu kiasi cha
pesa kilichopatikana kwa watu waliotoa rambirambi zao kwenye msiba wa marehemu
Mzee Kinzasa
Mzee akieleza jambo kwenye msiba wa baba yake na 20
Percent aliyefariki siku ya Jumapili na kuzikwa nyumbani kwake kwenye
kijiji cha Kimanzichana.
Mwenyekiti wa mtaa wa Kimanzichana akimkabidhi mtunza
pesa, pesa alizopewa na wananchi kwa ajili ya rambirambi.
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye msiba wa baba
yake na 20 Percent kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichoko wilaya ya Mkuranga
mkoani Pwani hapo jana mchana
.
Mtunza pesa akieleza
kiasi cha pesa zilizopatikana baada ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika
msibani hapo kutoa rambirambi zao
Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa
kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi
siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana
kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20
Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji
cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga.
Abas Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza
jambo kandokando ya kaburi la Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki
siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana
kilichopo Wilaya ya Mkuranga.
Marehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha
kwenye nyumba yake ya milele.
0 comments:
Post a Comment