Jumanne Seif wa Mtende
(kulia) akiwatoka Hassan Juma na Majid Shaaban (kushoto).
Ali Juma wa Mafunzo
akituliza mpira (kushoto)Kulia ni Jumanne Seif wa Mtende.
Hassan Ahmada wa
Mafunzo akimzuia Ali mohamed asiupate mpira.
Mshambuliaji wa
Mtende Ali Mohamed (kushoto) akichuana na Abdulhalim Abdalla wa Mafunzo.
Hassan Ahmada wa
Mafunzo akiruka juu (kushoto) kumzidi Jumanne Seif wa Mtende.
Picha zote na
Intellectuals Communications Limited
0 comments:
Post a Comment