Rais Mstaafu Mhe. Benjamini
William Mkapa ambaye pia ni mgeni rasmi akihutubia vijana mbalimbali wakati wa
uzinduzi wa Kampeni ya tusome Tanzania (Let us read Tanzania) aliyoizindua leo
katika viwanja vya Makao Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu Mhe. Benjamini William Mkapa ambaye pia ni mgeni
rasmi akiwasomea hadithi mbalimbali na kuwauliza maswali mbalimbali watoto
ambao ni wanafunzi toka shule mmbalimbali leo katika viwanja vya Makao Makuu ya
Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya vijana walioshiriki
uzinduzi wa Kampeni ya tusome Tanzania (Let us read Tanzania) wakifuatilia kwa
makini hotuba toka kwa mgeni rasmi Mhe. Benjamini William Mkapa (hayupo
pichani) leo katika viwanja vya Makao Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es
Salaam.
NA
BENEDICT LIWENGA-MAELEZO.




0 comments:
Post a Comment