MRADI WA ULINZI NGAZI NA FAMILIA MKOA WA KINONDONI WAZINDULIWA LEO
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova akitoa hotuba yake wakati akizindua mradi wa ulinzi ngazi na familia mkoa wa Kinondoni Tarafa ya Kinondoni leo Octoba 11-2013 kwenye viwanja biafla jijini Dar es salaam,pia amewataka wananchi kutoa taarifa kwenye jeshi la polisi watu ambao wanaishi nao wasikubali kukaa na watu ambao hawajui kazi wanazofanya.








0 comments:
Post a Comment