Wakati Tanzania kesho ikiadhimisha kumbukumbu
ya kifo cha baba wa taifa hayati Mwalimu julius kambarage nyerere wadau mbali
mbali wametoa maoni yao na kuwataka wanasiasa kuhakikisha kuwa nchi inaendelea
kuwa na amani na mshikamano kwa kupinga viashiria vinavyoweza kuligawa taifa
katika misingi ya ukabila na dini.
Wamesema mwalimu
nyerere alipinga ubaguzi kwa kuwajenga wananchi wote katika misingi ya
kuheshimiana pamoja na kuvumiliana hali ambayo hivi sasa imeanza kupotea.


0 comments:
Post a Comment