Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika hafla ya sherehe za
kuukaribisha mwakama mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, zilizofanyikwa kwenye
Ukumbi wa Karimjee,jijini Dar es Salaam.
Picha Zote na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed
Gharib Bilal, akiwasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Nov
10, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435
Hijriyya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalaimiana na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya
Istiqaama Tanzania, wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam, leo Vov 10, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya
wa Kiislamu 1435 Hijriyya. Katikati ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Sheikh Alhad Mussa Salum.
Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla
ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla
ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwaongoza baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama,
kuomba dua wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya,
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Alhad Mussa Salum, wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435
Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,
akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais, Dkt.
Bilal,kuhutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, kwa
kutambua mchango wake katika kufanikisha hafla ya kuupokea mwaka mpya wa
Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Alhad Mussa Salum, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha hafla ya
kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment